Loading...
Location Tegeta - Wazohill, Kinondoni, Dar es salaam - Tanzania
+255 (0) 712 253 102 / +255 (0) 692 430 263
Home About Blog Get in touch

Showing 1 - 12 of 69 products

Previous Page 1 / 6 Next
JOACK Products

Machinery

This category has its own page and can be searched independently.

Mashine za kilimo

Mashine za kilimo
Mashine za kupulizia dawa
Mashine za kupulizia dawa
350,000
Mashine za kilimo

FULL AUTOMATIC FUEL HAND SPRAYER | MASHINE ZA KUPULIZIA DAWA | MOTOR / PETRO KNAPSAC SPRAYER

BEI NI 350,000/= - OFA OFA

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Mashine ina injini maalumu inayotumia petrol, na inauwezo mkubwa kutupa dawa kwenda umbali mrefu.

Hizi mashine ni imara sana tofauti na mashine nyingine, na pump yake ina dumu muda mrefu.

Hizi ndio mashine za kisasa zinazotumika kwenye Kazi za furmigation.

Vipengele vyake vikuu:
1. Tanki la kuhifadhia dawa
Ni la plastiki nyeupe na lina kifuniko cha rangi ya machungwa.

2. Injini ya petroli (2-Stroke Engine)
Inapatikana chini ya tanki, inasaidia katika kusukuma dawa kwa shinikizo kubwa.

3. Mrija na bomba la kunyunyizia.
Ina bomba refu la chuma lenye mpini wa plastiki wa rangi ya machungwa, pamoja na bomba la mpira la rangi ya njano na machungwa.

4. Sehemu za udhibiti.
Ina vipini vya kudhibiti dawa na injini, pamoja na sehemu za kuwasha na kuzima.

5. Tahadhari za usalama.
Kuna vibandiko vya onyo, mojawapo likisema: "DON’T SPRAY AT PEOPLE AND ANIMALS" (Usipulizie watu na wanyama).

Huu mtungi unafaa kwa matumizi ya kilimo, bustani, na kudhibiti wadudu au magonjwa kwenye mazao. Unatumika sana kwa sababu ya uwezo wake wa kupuliza dawa kwa

#handsprayer #sprayer #fuelsprayer #motorsprayer #mashineyafurmigation #mashineyakupuliziadawa #madumuyakupuliziadawa #dawazamifugo #dawazakilimo #viuatilifu #mashineyafurmigation #pestcontrol #petrolknapsacsprayer

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joack.co.tz

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #kilimo #kilimotz #mabandayamifugo #kilimobiashara #ufugajiwanguruwe #kilimochaumwagiliaji #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma #mwanza #mbeya #morogoro #ufugajikibiashara

JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO

Pampu za kuvuta maji
Pampu za kuvuta maji
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kupandia mbegu
Mashine za kupandia mbegu
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kukatia nyasi (brush cutter)
Mashine za kukatia nyasi (brush cutter)
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kulimia (power tiller)
Mashine za kulimia (power tiller)
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kuvunia mahindi
Mashine za kuvunia mahindi
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kupukuchua mahindi
Mashine za kupukuchua mahindi
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kukoboa na kusaga mahindi
Mashine za kukoboa na kusaga mahindi
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kupiga mpunga na nafaka nyingine
Mashine za kupiga mpunga na nafaka nyingine
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kukoboa mpunga
Mashine za kukoboa mpunga
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kupepeta punga
Mashine za kupepeta punga
Request quote
Mashine za kilimo
Mashine za kupukuchua karanga
Mashine za kupukuchua karanga
Request quote
Mashine za kilimo