This category has its own page and can be searched independently.
HAKUNA KUWEKA ODA LIPA NA KUCHUKUA - MABANDA YA KUKU YA CHUMA YA UBORA WA HALI YA JUU
BANDA HILI LINAFAA HATA KAMA UPO KWENYE NYUMBA YA KUPANGA.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
Katika JOACK, tunabuni na kutengeneza mabanda ya kuku ya chuma (metal poultry cages & houses) yenye uimara, usalama na ufanisi mkubwa kwa ufugaji wa kisasa.
Kila banda tunalotengeneza linapitia hatua za kitaalamu kuanzia mchoro, uteuzi wa vifaa, mpaka finishing ili kuhakikisha mfugaji anapata thamani na matokeo ya uhakika.
Sifa za Mabanda Yetu
🔩 Muundo wa chuma imara – hauozi, unavumilia mvua na jua.
🪵 Plyboard za ubora kwa kupunguza upepo baridi na kuongeza faraja kwa kuku.
🐔 Wiring yenye nguvu kuhakikisha usalama dhidi ya wanyama walao na wizi.
🌧️ Paa la bati imara linalozuia maji kuingia na kulinda ndege kwa msimu wote.
🔐 Milango yenye locks salama kwa urahisi wa kuingia na kutunza.
🛠️ Finishing ya kitaalamu – inafaa kwa kuku wa mayai, broilers, chotara, vifaranga, hata sungura.
Faida kwa Mfugaji
Banda linaongeza uzalishaji kwa kudhibiti joto, usalama na usafi.
Lifespan ndefu kwa sababu ya vifaa vilivyochaguliwa kitaalamu.
Ni banda la kusafirisha na kusimika sehemu yoyote (portable design).
Tunatengeneza kulingana na kipimo unachotaka (custom size).
JOACK – Ubora, Uaminifu na Huduma BORA kwa mfugaji wa kisasa.
#mabandayakuku #bandalakukulachuma #kejizakuku #banda #bandalakuku
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
mifugotz@gmail.com
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
This category has its own page and can be searched independently.