JOACK COMPANY LIMITED NI WAUZAJI WA MADAWA YA MIFUGO, KILIMO NA VIFAA VYA MIFUGO NA KILIMO PIA.
JOACK Company Limited @joackcompany hii ni kampuni iliyosailiwa Tanzania, kwa lengo la kutoa huduma mbalili mbalili zinazohusiana na maswala ya kilimo na mifugo.
Call/Text/WhatsApp: 0712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
MIFUGO...
Kwenye mifugo (@mifugo_tz) kampuni inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za mifugo lakini pia kutoa huduma mbalili za mifugo.
Huduma zinazotolewa na JOACK
1. Ushauri/Elimu juu ya ufugaji kibiashara (ufugaji wenye tija)
2. Chanjo na matibabu ya mifugo aina zote.
3. Kutembelea mashamba ya mifugo (farm visit)
4. Usimamizi wa mashamba ya mifugo
5. Kutafuta masoko ya bidhaa za mifugo.
6. Uadaaji wa bajeti za ufugaji
7. Furmigation service
Bidhaa patiakana JOACK
1. Vifaa vya ufugaji (vipo vya aina nyingi)
2. Mashine, mf: mashine za kuaguliavifaranga, mashine za kuchakata majani, nk
3. Vifaa vya incubator
4. Chanjo na madawa ya mifugo.
5. Vifaranga
6. Wanyama hai, mf: mbwa, paka, ng'ombe, nk
KILIMO...
Kampuni pia inajihusisha na maswala ya kilimo, kama unapenda kufahamu zaidi kuhusu kilimo tembelea hii page @kilimo_tz
#bidhaazajoack #hudumazajoack #hudumazamifugo k#ushuariwamifugo #ufugajikibiashara #wataalamuwamifugo #vifaavyamifugo #chajozamifugo #chanjozakuku #biasharayamifugo #tibayamifugo #wafugaji #ufugaji #kuku #mbuzi #livestocktools #vifaranga #chakulachamifugo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
info@joack.co.tz
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #tanzania🇹🇿 #dodoma #morogoro #tanzania #arusha
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO