KUTANA NA DAKTARI MAHIRI WA MIFUGO KUTOKA NETHERLANDS! CC: PUM XPERT FROM NETHELAND
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackbagamoyo @joackanimalclinic @joackagrovet
Ofisi zetu zipo Tegetawazohill DSM na Kiromo Bagamoyo Pwani.
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
JOACK COMPANY tunayo furaha kumkaribisha Dr. Wiel kutoka PUM - NETHELAND— Daktari wa mifugo mwenye uzoefu wa miaka 37 katika sekta ya ufugaji, hasa ng’ombe wa maziwa!
Kwa mara ya kwanza, Dr. Wiel yupo hapa Tanzania, na tayari yupo karibu sana na timu yetu ya JOACK ANIMAL CLINIC.
Lengo letu ni moja tu: kuijengea uwezo timu yetu na kuhakikisha tunatoa huduma bora zaidi kwa wafugaji wetu.
Katika ziara yake, Dr. Wiel amegundua makosa makubwa mawili yanayowarudisha nyuma wafugaji wengi wa ng’ombe wa maziwa hapa Tanzania:
• Kutotunza ndama ipasavyo – Wafugaji wengi hawana maarifa sahihi juu ya malezi ya ndama.
• Lishe duni kwa ng’ombe – Ufugaji wa kisasa unahitaji chakula chenye virutubisho sahihi, lakini wengi bado hawajafikia kiwango hiki.
Hayo ni machache tu! Kama wewe ni mfugaji wa ng’ombe na huoni tija kwenye shughuli yako, ni muda sahihi kuwasiliana na JOACK.
Tuko hapa kukusaidia kabla hujapata hasara au kukata tamaa.
Usikose nafasi hii ya kipekee!
#ngombewamaziwa #Friesian #freshiani #maziwa #ngombe #dairycattle #milk #dairycow #jersey #ngombewakisasa #wauzajiwangombe #arshire #wauzajiwamifugo #shambalangombe
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
info@joack.co.tz
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #Kilimo #mifugo #ufugaji #tanzania #dakatariwamifugo #tanga #wataalamuwamifugo #morogoro #netheland #joackanimalclinic #mwanza #arusha #iringa #dodoma #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO