TUNAUZA MOTOR MPYA NA KUTENGENEZA MOTOR ZILIZO HARIBIKA | NA KUFANYA REPEAR ZA MASHINE
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackvetclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku.
Ofisi zipo: Tegeta Wazohill-DSM na Bagamoyo
Tunauza motor za ukubwa tofauti tofauti, na bei zetu ni nafuu sana.
AINA ZA MOTA NA BEI
BRAND: MOTOR RAYAL
02HP = 300,000
03 HP = 350,000
04 HP = 400,000
05 HP = 450,000
7.5 HP = 700,000
10 Hp = 900,000
25 HP = 1,500,000
30 HP = 1,700,000
40 HP = 2,000,000
50 HP = 3,500,000
1. Uwezo: 5.5HP, 4.1Kw, Speed: 2,840 r/min, 50Hz, 220V, 13.9A, IP 44
Bei yake ni 450,000Tsh
2. Uwezo: 6HP, 4.5Kw, Speed: 2,840 r/min, 50Hz, 220V, 13.9A, IP44.
Bei yake ni 550,000Tsh.
Motor ni spear/kifaa kinacholeta mzunguko kwenye mashine, na motor ndio mashine yenyewe.
Motor inatumika kwenye mashine mbalimbali, mfano; mashine za kusaga na Kuchanganya chakula Cha kuku, mashine za pellet, mashine za kupukuchua mahindi, mashine za kusaga na kukoboa, mashine za kunyoyolea kuku, nk
Licha ya kuuza motor mpya, JOACK tunatengeneza motor zilizo haribika, Kwa hiyo kama una motor imeharibika na haifanyi kazi wasiliana nasi kwajili ya matengezo.
Tunauwezo wa kunasuka motor ndogo hadi motor kubwa na zikawa mpya na imara kabisa, Kuna baadhi ya viwanda tumesha watengenezea motor zao sana, mfano; Twiga Cement tumesha fanya nao kazi nyingi sana.
Mafundi wetu wanauwezo mkubwa sana wa kusuka motor iliyoungua na kuwa mpya kabisa.
#motor #fundimotor #mota #fundimota #watengenezajiwamotor #fundiwamotor #mota #tunauzamota #fundiwamashine #motorrepair #tunauzamotor #motorzakichina #kusukamoto
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
info@joack.co.tz
#joackcompany #mifugo #kilimo #tanzania #kariakoo #tanzaniaweddings #arusha #sido #mwanza #morogoro #tanzania🇹🇿 #mbeya #kilimanjaro #dodoma #kusukamota #mashinezaunga #mashinezakusaga
JOACK CO LTD | DSM NA BAGAMOYO