Loading...
Location Tegeta - Wazohill, Kinondoni, Dar es salaam - Tanzania
+255 (0) 712 253 102 / +255 (0) 692 430 263
Home About Blog Get in touch

TUNAUZA PLASTIC SLATS FLOOR

TUNAUZA PLASTIC SLATS FLOOR

Unahitaji sakafu bora, imara na ya kisasa kwa banda la mifugo yako?

JOACK COMPANY LIMITED tunauza Plastic Slats Floor zenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya mabanda ya nguruwe, mbuzi, kuku na mifugo mingine.

Sifa za Plastic Slats Floor zetu:

Imara na hudumu muda mrefu

Rahisi kusafisha na kudumisha usafi

Hupitisha uchafu kwa urahisi

Hupunguza unyevunyevu ndani ya banda

Salama kwa mifugo kutembea na kupumzika

Faida kwa mfugaji:

Kuongeza usafi wa banda

Kupunguza magonjwa yanayosababishwa na uchafu

Kurahisisha usimamizi wa mifugo

Kuongeza afya na uzalishaji wa mifugo

Chagua Plastic Slats Floor bora kwa ufugaji wa kisasa wenye mafanikio.

WhatsApp/Simu:

+255 712 25 31 02

+255 692 43 02 63

TUNAPATIKANA

1. Wazohill - Dar es Salaam

Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo, karibu na kanisa la KKKT.

Google location;

https://maps.app.goo.gl/PsgwecjBYjpd4cow9?g_st=ac

2. Bagamoyo - Pwani

Kiromo shule, Bagamoyo Pwani.

Google location;

https://maps.app.goo.gl/atyhxFJkqzY8EzHa8?g_st=ac

3. Posta - Dar es salaam

Matasalamat building NHC samora avenue 2nd floor

Google location;

https://maps.app.goo.gl/cMRwKkfKD6H1Ub4W9?g_st=ac

#JOACKCompanyLimited #PlasticSlatsFloor #MabandaYaMifugo #UfugajiWaKisasa #KilimoNaMifugo AgribusinessTZ WakulimaTanzania